Wednesday, July 18, 2012

Niwakati wa manjozi huu kwa sisi wote watanzania hii ni kutokana na ajali liyotokea huko zanziba ni baada ya meli iliyozama.meli hiyo inakadiriwa ilikuwa na watu miambili.Kweli ni kipindi kigumu kwa ndugu zetu wa tanzania visiwani.Mungu awapatie ujasiri katika kipind hiki  kigumu.

Wednesday, July 4, 2012


Ndugu zangu hii ndio hali  halisi iliyo katika masoko yetu mengi hapa nchin Tanzania,inasikitisha sana kwani  hii hali ni  hatari kwa mlaji wa bidhaa zinazouzwa eneo hili,jaman wahusika tafadhari shughulikieni hili kwani linaweza leta magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.