Wednesday, July 4, 2012


Ndugu zangu hii ndio hali  halisi iliyo katika masoko yetu mengi hapa nchin Tanzania,inasikitisha sana kwani  hii hali ni  hatari kwa mlaji wa bidhaa zinazouzwa eneo hili,jaman wahusika tafadhari shughulikieni hili kwani linaweza leta magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.

1 comment:

  1. Yote haya yanatokana na kutokuwajubika kwa viongozi wetu ana kutokuheshimu majukuu au tuseme ni kitovu cha uoga wa madaraka

    ReplyDelete